Aikoni ya programu ya simu ya DistroKid

kwa ajili ya iPhone na Android

Upakiaji usio na kikomo kutoka popote, wakati wowote.

Programu ya simu ya mkononi ya DistroKid ndio njia rahisi kwa wanamuziki kufikisha muziki katika Spotify, Apple, Amazon, Tidal, TikTok, YouTube, na zaidi - huku ukiendelea na harakati zako. Baki na 100% ya mapato yako na uwe mwenye tija.


Niskani ili upakue!

Mfano wa kichupo cha muziki katika programu ya DistroKid ya iPhone yenye umbo la tone la bluu kwa nyuma na mfano wa arifa shinikizi kwa ajili ya kuwajulisha watu kuwa wana pesa benki.
Mfano wa fomu ya kupakia ya programu ya DistroKid ya iPhone yenye umbo la tone la bluu nyuma yake. Pia ina orodha la aikoni ambapo muziki wako utasambazwa: Pandora, Instagram, TikTok, Apple Music, na Spotify

Pakia nyimbo zisizo na kikomo.

Kutoka popote ulipo, hadi popote unapotaka muziki wako uwe.

Fuatilia takwimu zako moja kwa moja kutoka kwa simu yako.

Nenda na wakati na data za hivi punde za utiririshaji.

Mfano wa kichupo cha takwimu cha programu ya DistroKid ya iPhone yenye umbo la tone la bluu nyuma yake inaonyesha takwimu za Spotify na Apple Music

Tazama pesa zako zikifika benki.

Sehemu iliyo bora? Unabaki na 100%.

Mfano wa arifa shinikizi inayosema 'Umepata pesa. Mapato mapya yamechapishwa kwenye akaunti yako' kwa kutumia emoji ya sherehe

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa mara

Muziki wako wote unapaswa kuwa madukani. DistroKid ndiyo huduma pekee inayokuwezesha kupakia idadi isiyo na kikomo ya muziki kwenye maduka kwa bei moja nafuu na kukuwezesha kubaki na 100% ya mapato yako. Huduma zingine hukulipisha kila unapopakia kitu, au huchukua asilimia ya mapato yako—jambo ambalo halifurahishi (na ni ghali zaidi).


DistroKid huweka muziki wako madukani haraka sana ikilinganishwa na muda ambao washindani wetu huchukua kuweka muziki wako madukani. Tuna huduma bora kwa wateja, takwimu za kila siku, kiolesura rahisi, na pia vipengele vingi vya kipekee.


DistroKid ni kwa ajili ya wanamuziki wanaofanya kazi peke yao, wasanii, bendi, ma DJ, watumbuizaji, watayarishaji wa muziki na watengenezaji wanaorekodi muziki wakiwa nyumbani au kwenye studio. Pia, tuna huduma za lebo.


Ni $22.99 pekee ili kupakia nyimbo na albamu bila kikomo kwa mwaka mmoja.


Hakuna.