DistroKid ndiyo njia rahisi zaidi kwa wanamuziki kuweka muziki wao kwenye Spotify, Apple, Amazon, Tidal, TikTok, YouTube Music, na zaidi.
Upakiaji usio na kikomo, pokea 100% ya mapato yako, na vipengele vingi zaidi kuliko wasambazaji wengine wa muziki.
au
Lipa $24.99 ili uweze kupakia albamu na nyimbo bila kikomo kwa mwaka mmoja na kuziweka madukani kwa kasi ya mara 10-20 zaidi kuliko wasambazaji wengine.
Tutauwasilisha muziki wako kwenye Spotify, Apple Music, TikTok, Pandora, Amazon, Instagram, YouTube, Tidal, iHeartRadio, Deezer, pamoja na maduka mengine mengi na majukwaa ya utiririshaji.
DistroKid ni huduma kwa wanamuziki inayouweka muziki wako kwenye maduka ya mtandaoni na majukwaa ya utiririshaji. Na pale watu wanaposikiliza muziki wako, tunakutumia pesa.
Muziki wako wote unapaswa kuwa madukani. DistroKid ndiyo huduma pekee inayokuwezesha kupakia idadi isiyo na kikomo ya muziki kwenye maduka kwa bei moja nafuu na kukuwezesha kupokea 100% ya mapato yako. Huduma zingine hukulipisha kila unapopakia kitu, au huchukua asilimia ya mapato yako—jambo ambalo halifurahishi (na ni ghali zaidi).
DistroKid huweka muziki wako madukani haraka sana ikilinganishwa na muda ambao washindani wetu huchukua kuweka muziki wako madukani. Tuna huduma bora kwa wateja, takwimu za kila siku, kiolesura rahisi, na pia vipengele vingi vya kipekee.
DistroKid ni kwa ajili ya wanamuziki wanaofanya kazi peke yao, wasanii, bendi, ma DJ, watumbuizaji, watayarishaji wa muziki na watengenezaji wanaorekodi muziki wakiwa nyumbani au kwenye studio. Pia, tuna huduma za lebo.
Ni $24.99 pekee ili kupakia nyimbo na albamu bila kikomo kwa mwaka mmoja.
Hakuna.
Ndio! Tumeitengeneza DistroVid ili kukuwezesha kuweka video zako za muziki kwenye Apple Music, Vevo, Tidal na Boomplay. Kwa $8.25 pekee kila mwezi, unapokea 100% ya mapato. Fungua akaunti bila malipo ili upokee punguzo.
Waanzilishi wa washindani wawili wakubwa wa DistroKid waliacha kampuni zao na wametoa hongera za dhati kwa DistroKid. Tuna uhakika utaipenda pia.
- Jeff Price, mwanzilishi wa TuneCore na Audiam (chanzo)
- Digital Music News
- Performer Magazine
- INJI
- Nobigdyl
- Powfu
- Kei Henderson, 21 Savage
- Eydrey
- Ludacris
- THEM
- Carly Pearl
- Haley Joelle
- Arizona Zervas
- Christian Kuiria
- JESSIA
- Ari Herstand
- Jósean Log
- The Red Pears