Programu ya simu ya mkononi ya DistroKid ndio njia rahisi kwa wanamuziki kufikisha muziki katika Spotify, Apple, Amazon, Tidal, TikTok, YouTube, na zaidi - huku ukiendelea na harakati zako. Pokea 100% ya mapato yako na uwe mwenye tija.
Niskani ili upakue!
Kutoka popote ulipo, hadi popote unapotaka muziki wako uwe.
Nenda na wakati na data za hivi punde za utiririshaji.
Sehemu iliyo bora? Unapokea 100%.
All your music should be in stores. DistroKid is the only service that lets you upload unlimited music to stores for one low price and keep 100% of your earnings. Other services make you pay every time you upload something, or they take a percent of earnings?which is way less fun (and way more expensive).
DistroKid huweka muziki wako madukani haraka sana ikilinganishwa na muda ambao washindani wetu huchukua kuweka muziki wako madukani. Tuna huduma bora kwa wateja, takwimu za kila siku, kiolesura rahisi, na pia vipengele vingi vya kipekee.
DistroKid ni kwa ajili ya wanamuziki wanaofanya kazi peke yao, wasanii, bendi, ma DJ, watumbuizaji, watayarishaji wa muziki na watengenezaji wanaorekodi muziki wakiwa nyumbani au kwenye studio. Pia, tuna huduma za lebo.
Ni $24.99 pekee ili kupakia nyimbo na albamu bila kikomo kwa mwaka mmoja.
Hakuna.